Thursday, September 11, 2008

HAPPY 6th BIRTHDAY KAREN

Hello Karen.
Ni Septemba 12. Siku nyingine ya kusherehekea mwaka kamili wa maisha yako. Unatakiwa maisha mema yenye HESHIMA, AMANI, UPENDO na MAFANIKIO katika kila jema utendalo na hasa masomo uliyoanza.
Salamu za upendo toka kwa familia nzima na rafiki zako.

Happy 6th Birthday K

2 comments:

Anonymous said...

Nice Picture. Happy b'day

Anonymous said...

Hello Karen, May God Bless you now and Always. U r one lucky girl and I hope all your dreams come true. Happy Birthday Baby Girl.

Love
Aunt Rae