Monday, June 13, 2011

Ndio sayansi hiyo. Moyo na Mifupa inatengenezwa maabara

Moyo na mifupa vinatengenezwa maabara.
TAZAMA

4 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Naam ! Naam Naam, Mkuu!!

Lakini mimi mifupa yangu ikizeeka na moyo kuishiwa nanguvu sitapokea kutoka kutoka maabara hiyo samahani!

emu-three said...

Duu hii kali ...!

Rachel Siwa said...

Mweh yaduniani ni mengi!!!!!

Faith S Hilary said...

Tuendelee kuona miaka inavyozidi kwenda binadamu atafikiria "kutengeneza" nini...or actually maybe bringing the dead back to life?