Friday, April 13, 2012

Mdahalo wa wagombea uongozi DMV

Mdahalo na wagombea wa nafasi ya uKatibu Mkuu wa Jumuiya ya waTanzania waishio jiji la Washington DC na majimbo ya Maryland na Virginia.

Shukrani za pekee kwa Mtayarishaji Dj Luke Joe, Mpiga picha Abou Shatry na muwezeshaji Libe.

No comments: