Rais Kikwete akipokea maua maua toka kwa mtoto Ninai Joseph Sokoine
Mama Salma Kikwete akipokea maua ya ukaribisho toka kwa Kelvin Masanja
Baadhi ya wageni waalikwa


Rais Kikwete akisalimiana na wawakilishi wa Jumuiya ya Watanzania DC Metro





Rais akiagana na waheshimwa mbalimbali walioshiriki naye mlo wa jioni. 

Rais Jakaya Kikwete,
leo amehitimisha ziara yake ya
kikazi hapa nchini kwa kufanya maongezi na baadhi ya
mabalozi na wawakilishi wa nchi mbalimbali na pia kushiriki chakula cha jioni na mabalozi hao pamoja na wawakilishi wa Chama cha wanajamii ya
waTanzania waishio Washington DC
na vitongoji vyake.
Chakula hicho kiliandaliwa na ubalozi na kusanyiko hilo kufanyika kwenye makazi ya
Balozi wa Tanzania
hapa nchini Mheshimiwa Ombeni Sefue yaliyoko huko Maryland.
No comments:
Post a Comment