Wednesday, September 24, 2008

Mubelwa's Day Out

Kwa siku ratiba inaporuhusu nami huwa najikita mtaani kuangalia mazingira, kisha namchukua mzururaji mwenzangu (kamera) na kuanza kuweka kumbukumbu ya taswira mbalimbali ninazokutana nazo. Kwa sisi "walevi wa taswira" ni suala la changamoto (challenge) ya kama utaweza kupata picha uitakayo toka katika kitu ukitakacho na namna ukitakavyo kwa zana uliyonayo na majira uliyopo.
Nami niliingia mtaani mwishoni mwa wiki na kuanza na kufyatua hizi ambazo kwa mazingira, subject, time na angle, nadhani si mbaya saaana. Waonaje?

No comments: