Thursday, September 25, 2008

Leo katika historia

Rais Fidel Castro akihutubia UN mwaka 2000
26/09/1960: Rais Fidel Castro wa Cuba ahutubia Umoja wa Mataifa na kutoa hotuba ndefu kuliko zote katika historia ya Umoja huo. Hotuba yake ilichukua masaa 4 na dk29

26/09/1962: Mapinduzi katika Jamhuri ya Kiarabu ya Yemen

Rais F.W De Clerk na Bwn Nelson Mandela
26/09/1992: Rais Frederick W Clerk na kiongozi wa ANC Nelson Mandela wafikia makubaliano ya utaratibu wa kukabidhi madaraka kwa walio wengi (weusi) nchini Afrika Kusini katika mkutano uliofanyika Johannesburg.

No comments: