Sunday, December 28, 2008

Mkaribishe Dr Hendry na HABARI MOTOMOTO

Dr Hendry wa Habari Motomoto Blog
Haya tena. Mwaka wakatika na majamvi yazidi kuongezeka. Kuna jamvi jingine la habari motomoto lilioanza mwezi huu. Ni lake Dr Hendry wa Arusha ambaye amekuja na Jamvi la HABARI MOTOMOTO unaloweza kulitembelea kwa kubofya hapa. Moja ya taswira na habari moto toka www.habarimotomoto.blogspot.com

No comments: