Sunday, December 28, 2008

Kwa walimu wa Kiswahili

Kwa wale wenye ujuzi na elimu ya kufundisha Kiswahili kuna kazi hapa ya ualimu kama ambavyo imetundikwa na Da Subi. Hebu soma hapa kupata taarifa kamili. Kila ka kheri kwa wale wote watakaojaribu bahati yao. Asante Da Subi kwa kusaka nafasi kwa wenzetu wenye ujuzi mbalimbali
Blessings

No comments: