Sunday, December 28, 2008

Give Thanks and Praises:....New Song by Nasio Fontaine

"Come down to the river, lay down your burdens, walk away and sing a New Song, sing a Brand New Song....i know your burdens feels so heavy, you feel you couldn't carry no more, yet here comes another hurdle, higher than the one before, and i know the road you trod, is rough and rugged, still i know, the Lion of the Judah is the only solution"
Kwa wakati huu mgumu katika hali za kiuchumi na kimaisha kwa ujumla, twahitaji kujua lilipo kimbilio letu kila mmoja. Msikilize Nasio akieleza aaminivyo katika wimbo wake uliopo ndani ya albamu ya Living In The Positive. Wimbo waitwa NEW SONG

JUMAPILI NJEMA


1 comment:

Anonymous said...

Jamaa kaimba vizuri. Asante kwa ujumbe. Na wewe J'pili njema
TUMA