Thursday, December 4, 2008

Them, I & Them. Updated

Kipengele cha Them,I & Them kimeongezewa miziki iendanayo na siku hiyo kusindikiza maudhui yazungumziwayo. Bofya HAPA kutembelea kipengele hicho.
Blessings

2 comments:

Simon Kitururu said...

Asante Mkuu!

Mzee wa Changamoto said...

Dah!! Karibu tena Kaka Simon. Heshima kwako