Lakini haya ni mabadiliko ya nyakati, na hili laweza kuwa funzo kuwa tujaribu kugeukia pale ambapo tunaamini ndipo palipo na uwezo wa kutufanikisha katika haya yote. Nako ni kwake MUNGU.
Wimbo wa leo ni kuhusu hilo ambapo mwimbaji Dada Comfort Osei-Wusu anatukumbusha kuwa kila kitu kina nyakati. Kama ilivyo kkatika kuzaliwa na kufa, kupanda na kuvuna, hivyo muda / wakati wa kupata amani halisi ni sasa na amani hiyo yapatikana kwake MUNGU.
Msikilize Lady Comfort katika wimbo huu TIME CHANGES uliobeba jina la albamu yake TIME CHANGES Nami nakwambia kuwa kila jambo lina mwisho, na "mwisho wa bonde ni mwanzo wa mlima kukupeleka kileleni" NEVER GIVE UP
JUMAPILI NJEMA
1 comment:
Jumapili njema nawe pia. Na ni kweli inaonekana kila kitu na wakati wake.
Post a Comment