Thursday, March 12, 2009

Vyakula sita bora kwa kila mwanamke

Majuzi tu tumesherehekea siku ya kimataifa ya wanawake ulimwenguni. Ilikuwa safi sana. Blogs nyingi ziliandika kwa upana na urefu kulingana na yaliyojiri na iliadhimishwa vema.
Leo hii naleta haya niliyoona ni vema kushirikiana nanyi katika ngwe hii ya afya. Nayo ni vyakula sita muhimu ambavyo kila mwanamke anahitaji kuweza kuishi kwa afya.
Kujua hayo basi BOFYA HAPA KATIKA TOVUTI YA WebMD.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Asante Mzee wa Changamoto kwa ujumbe huu mzuri na muhimu. Sikujua kama wanawake tupo mtari wa mbele asante sana

Mzee wa Changamoto said...

Karibu Dada

Christian Bwaya said...

Asante sana kwa elimu hii inayokosekana kwa wananchi wengi.

Kwa namna hii, huenda ile tabia ya kujivunia vitambi tutaipa kisogo.

Christian Bwaya said...

Halafu Mube, ukiwa mdau muhimu sana wa blogu, unaombwa kuchangia mawazo yako kuhusu ufufuaji na uimarishaji wa jumuiya yetu yatakayomsaidia Katibu wetu katika mchakato aliouanza.

Unaweza kufanya hivyo pale kibarazani kwangu. Asante.

Subi Nukta said...

Mtu ni afya! Elimu haina mwisho.