Friday, April 3, 2009

Them, I & Them. BOB MARLEY .....One Love

"i see the leaders of these world keep trying to make this world better place for living, still they just can't understand why is it so hard to do it. I guess the system is just not working, there's too much ism skism, why can't they try something new? It is time we understand.... together we can build a better land ........WHAT WE NEED IS LOVE" Luciano
Moja ya mambo yaliyoonekana kufuatiliwa zaidi wiki hii ni mkutano wa wakuu wa nchi uliofanyika huko Uingereza. Mkutano huo uliojumuisha wakuu wa nchi ziundazo kile kiitwacho G-20 ulikutana na kutoa maazimio kadhaa kuhusu hali tete ya dunia.
Ndani ya mkutano huo kulikuwa na ufuatiliaji wa namna viongozi wa nchi zinzzopingana ambao wangekutana huko wangeweza kuongea na kushirikiana katika kuweka pembeni tofauti zao na kuanzisha umoja kwa manufaa ya nchi zao. Binafsi nilishangazwa namna ambavyo vyombo vya habari hasa hapa Marekani vilivyoshangaa kuona kuna kuelewana kati ya Rais wa Marekani, China na Russia. Ni kama hawakutaka wapatanishe maslahi ya nchi zao. Ni kama haikustahili kutokea na pia ni kama ilikuwa kitu kisochowezekana. Lakini nina imani walichotambua ni kuwa ulihitajika UPENDO kwa wananchi wa nchi zao na hilo ndilo likosekanalo ulimwenguni.
Kwenye I & Them leo tunaye Bob Marley ambaye aliwahi kuimba kwa urefu juu ya UPENDO katika wimbo wake One Love. Wimbo alioongelea faida ya kuungana na kupenda na namna inavyoweza kuibadili Dunia.
Msikilize na kufuatilia, kisha burudika ukitafakari.

One Love! One Heart!
Let's get together and feel all right.
Hear the children cryin' (One Love!);
Hear the children cryin' (One Heart!),
Sayin': give thanks and praise to the Lord and I will feel all right;
Sayin': let's get together and feel all right. Wo wo-wo wo-wo!

Let them all pass all their dirty remarks (One Love!);
There is one question I'd really love to ask (One Heart!):
Is there a place for the hopeless sinner,
Who has hurt all mankind just to save his own beliefs?

One Love!

What about the one heart? (One Heart! )
What about - ? Let's get together and feel all right
As it was in the beginning (One Love!);
So shall it be in the end (One Heart!),
All right!
Give thanks and praise to the Lord and I will feel all right;
Let's get together and feel all right.


One more thing!!!!!

Let's get together to fight this Holy Armagedeon (One Love!),
So when the Man comes there will be no, no doom (One Song!).
Have pity on those whose chances grows t'inner;
There ain't no hiding place from the Father of Creation.

Sayin':
Let's get together and feel all right.
Give thanks and praise to the Lord , feel all right;


Let's get together to fight this Holy Armagiddyon,
So when the Man comes there will be no, no doom .
Have pity on those whose chances grows t'inner;
There ain't no hiding place from the Father of Creation.

Feel all..........
Feel all ri....
Let's get together and feel all right
One Love, One Heart, Give thanx and praise to the Lord, feel all right,
Let's get together and feel alright

One more thing!!!

Let's get together and feel all right


**Them, I & Them ni kipengele kikujiacho kila Ijumaa kinachoelezea kazi za wasanii (Them) kulingana na maono yangu (I) kwa ajili na manufaa ya hadhira (Them)**
Kwa nyimbo zaidi ndani ya kipengele hiki bofya hapa.


IJUMAA NJEMA

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana kwa kipande hiki kitamu na ijumaa njema nawe. Kazi nzuri