Thursday, June 25, 2009

HASHEEM THABEET anyakuliwa na Memphis Grizzlies kama Second Pick

Kundi la Draft
Thabeet akipongezwa baada ya kutangazwa kama mchezaji mpya wa Memphis Grizzlies
Akiwa kwenye pozi jana. Picha zote toka NBA.COM
Nyota wa kikapu toka nchini Tanzania Hasheem Thabeet amenyakuliwa na timu ya MEMPHIS GRIZZLIES ya Tenesee kama Second Pick. Hasheem ana mengi ya kukamilisha na ana uwezo wa kukamilisha na twampongeza katika kila jema alilotenda na kumuombea mema katika kila jema apangalo kutenda.
KILA LA KHERI HASHEEM. Angalia video ya Hasheem akihojiwa kuhusu safari yake mpaka alipo.Kisha mtazame pale alipopata pick yake.Video zote toka ESPN

1 comment:

Anonymous said...

Ajitahidi awe kijana mzuri sio kuiga umarekani. anatangaza nchi sasa hivi