"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self."
Cyril Connolly (1903 - 1974)
Friday, June 26, 2009
Them, I & Them ...ECHOES OF MY MIND ......Luciano
Alipoamua kuingia katika katika NBA Draft, wapo waliosema mengi wakimtisha kuwa hakuwa tayari na pengine kulikuwa na uwezekano wa kutochaguliwa. Lakini hilo halikuwa mawazoni mwa Hasheem Thabeet ambaye aliendelea kuamini kile kilichokuwa akilini mwake na kuendelea kusikiliza MWANGWI WA MAWAZO YAKE. Napenda kumpongeza kwa kuamini katika alichoamini kwa kuwa kilikuwa sahihi na kilipaswa kuaminiwa na hakuna kitu kizuri kwa mtu kama kuwa vile anavyotaka kuwa. Na Hasheem amefanya hivyo kwa kusikiliza mwangwi wa mawazo yake na kufuata ndoto zake. Kila la kheri Hasheem. Msikie Luciano katika wimbo huu ECHOES OF MY MIND ambapo anasema si wakati wote unatakiwa kusikiliza kile ambacho wengine wanasema, bali sikiliza mwangwi wa mawazo yako.
**Them, I & Them ni kipengele kikujiacho kila Ijumaa kinachoelezea kazi za wasanii (Them) kulingana na maono yangu (I) kwa ajili na manufaa ya hadhira (Them)** Kwa nyimbo zaidi ndani ya kipengele hiki bofya hapa. IJUMAA NJEMA
Nakubaliana na ulichosema Mubelwa. Siku zote ni kupanga vyema na kufuata mipango hiyo kwa makini. Ninamwombea mafanikio mema kwake na kwa wale wote watakaonufaika kwa mafanikio yake. Hongera sana Hasheem!
.Today we have bigger houses and smaller families; more convenience but less time. .We have more Degrees but less common sense; more knowledge but less judgment. .We have more experts but more problems; more medicine but less wellness. .We spend too recklessly, laugh too little, drive too fast, get too angry too quickly, stay up too late, read too little, watch Tv too much and Pray too seldom. .We multiply our Possessions but reduce our values; we talk too much, love too little and lie too often. .We’ve learned how to make living, but not a life; we’ve added years to life not life to years. .We have taller buildings, but shorter tempers; wider freeways but narrower viewpoint. .We spend more, but have less; we buy more, enjoy less. .We’ve been all the way to the moon and back, but have trouble crossing the street to meet our neighbor. .We’ve conquer outer space, but not inner space. .We split the atoms, but not our prejudice .We write more, learn less; plan more but accomplish less; we’ve learned to rush but not to wait; we have higher income but lower morals. .We build more computers to hold more info, to produce more copies but have less communications. .We’re long on quantity but short on Quality. .These are the time for Fast food and slow digestion; tall men and short characters. .More leisure but less fun; more kinds of food but less nutrition; two income but many divorces, fancier houses but broken homes.
3 comments:
Nakubaliana na ulichosema Mubelwa.
Siku zote ni kupanga vyema na kufuata mipango hiyo kwa makini.
Ninamwombea mafanikio mema kwake na kwa wale wote watakaonufaika kwa mafanikio yake.
Hongera sana Hasheem!
Namtakia mafanikio mema pia na pia Hongera sana.
Mzee unajua kuhusisha matukio. bomba kweli yani
Post a Comment