Monday, July 6, 2009

Kibao kumuenzi M.J

Wasanii The Game, Chris Brown, Diddy, Wayna Morris wa Boyz II Men na Polow Da Don wameungana kwa pamoja kutoa kibao kumuenzi Mfalme wa Pop duniani Michael Jackson ambacho wamekiita "Better On The Other Side." Wimbo ulirekodiwa na "kuachiwa" tarehe 26 ya mwezi uliopita ikiwa ni siku moja tangu kufariki kwa Michael.
Tazama kibao hicho hapa chini

No comments: