
Ni wakati ambao kwa wale walioupitia wanakumbuka ilivyokuwa. Ni nyakati ambazo hakukuwa na kutumiana text messages, wala emails, na hata vi-barua havikuwa kwa wingi na simu ndio ilikuwa anasa. Kwa hiyo ilikuwa ni kusubiri "kalenda" ifike ili kupata jibu.
Jumatatu hii, tukumbushane nyakati hizo kwa kuwasilikiza DDC MLIMANI PARK katika kibao chao KIU YA JIBU.
** Zilipendwa ni kipengele kinachokujia kila Jumatatu kukuletea muziki wa kale kuhusisha na maisha, muziki ama sanaa ya sasa katika nyanja mbalimbali. Unaweza kusikiliza nyimbo nyingine ndani ya kipengele hiki kwa kubofya hapa, ama mitandao shirika hapa**
3 comments:
:-)
Ahsante
Kweli kabisa nakumbuka jinsi watu walivyokuwa wanaandikiana vibarua shuleni na kumtuma mtu mwingine akampe yule aliyemwandikia. Kazi kwelikweli. Asante kwa ukumbusho.
Kwa Wasukuma ilikuwa taabu zaidi...we acha tu!
Post a Comment