Thursday, July 16, 2009

Usanii Production. Suluhisho jingine la muziki na video

Kampuni nyingine ya uzalishaji wa muziki na video iitwayo USANII PRODUCTION inapenda kuwakaribisha wale wote wenye mahitaji ya kutengeneza nyimbo na video kuungana nao katika kuendeleza kazi hizi za kisanii.
Kampuni hii ina vifaa vya kisasa na wafanyakazi walio na uelewa na ubunifu wa kazi ambao watasaidia kufanikisha malengo ya wasanii. Ni kampuni inayoamini na kujikita katika UBUNIFU. Keisher


MarlawGharama zao za uzalishaji ni kama zinavyoonekana hapa chini:


SOUND PRODUCTION
• 1 Song recording / Kurekodi wimbo mmoja
TShs 150,000/=
• Gospel Choir Album / Album moja ya Kwaya ( 5-8 songs/ nyimbo)
Tshs 450,000/=
• Other Music Album / Album moja kwa miziki mingine ( 5-8 songs/ nyimbo)
Tshs 1,000,000/=
• Instruments only- 1 track / kutengeneza musiki bila sauti
Tshs 120,000/=
• Instruments from our keyboard / muziki kutoka kinanda (PSR 3000)
Tshs 20,000/=
• Recording music from floppy Disc to music CD / kurekodi muziki kutoka
kwenye floppy kwenda kwenye CD
Tshs 10,000/=
• Vocal recording / kurekodi sauti
Tshs 80,000/=
• Session Musician / Kutumia Mwanamuziki wetu kukupigia chombo
TShs 30,000/=


RADIO PROGRAMME (30 Min) PRODUCTION
• Kuandika Mchezo / Script
TShs 100,000/=
• Production, without background music
TShs 300,000/=


MUSIC VIDEO AND TV ADVERTISEMENT PRODUCTION
• 1 Song (No more than 3 location) / Wimbo 1 (Si zaidi ya maeneo 3)
Tshs 500,000/=
• 1 song (No more than 6 location) / Wimbo 1 (Si zaidi ya maeneo 6)
Tshs 700,000/=
• TV advert not more than 2min( Shooting, Editing, and sound creation)
TShs 1,000,000/=
NB: Tunatoa DVD 1 na VHS 1, Ukihitaji DVD za ziada itagharimu Tshs 20,000/= kila moja
na VHS za ziada itagharimu Tshs 5,000/= kila moja
Mteja anatakiwa kugharamia usafiri


FILM (1.30 Hr) AND TV DOCUMENTARY (30 Min) PRODUCTION
• Utafiti na uandishi wa mchezo/ Research and scripting
TShs 1,000,000/=
• Kuongoza Filamu / Film Directing
TShs 2,000,000/=
• Kupiga Picha / Shooting
TShs 4,000,000/=
• Kutengeneza Sauti za Filamu / Creative Music and Sound Track
TShs 3,500,000/=
• Editor
TShs 500,000/=
• Editing Bench @ 8hrs a day
TShs 250,000/=
• Kukodisha Vifaa kwa siku moja ndani ya Kibaha na DSM
Hiring Cameras and Accessories within Kibaha and DSM @ day
TShs 70,000/=
• Vifaa nje zaidi ya maeneo hapo juu/Cameras outside above locations@ a day TShs 400,000/=


ART AND COMPUTER GRAPHICS
• Usanifu wa Kitabu / Book layout designing @ 60 pages
TShs 200,000/=
• Michoro ya vitabuni, kwa mchoro mmoja/ Book Illustration, 1pcs @
TShs 50,000/=
• Usanifu wa Nembo / Logo Designing
TShs 400,000/=
• Picha za Ukutani / Wall Paintings
(Maelewano / Negotiation)
Wateja Mnashauriwa Kupanga muda Kabla. Pia kabla ya kuja kuanza kazi nasi . Malipo ya Awali 75% hasa
kwa wateja wa Sound Production na Music Videos. Pia mteja atagharamia usafiri, malazi na chakula kwa ajili ya
Film na TV Documentaries. Transport, living costs and other insurance in the field to be covered by client
NOTE: Bei zote hazijumuishi 20% VAT/ All prices are without 20% VAT


Waweza kuwasiliana nao kwa njia zifuatazo


USANII PRODUCTION Ltd,
Located at:
Kibaha Education Centre
Near Tumbi Police Station

P.O.Box 2141,
Dar es Salaam,
Tanzania

Tel: (+255)23 2402201
email: usaniiproduction@yahoo..com

1 comment:

Unknown said...

Naulizia kukodisha muziki, video na picha naomba bei za kila kitu kwa siku moja