JUMAPILI NJEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self." Cyril Connolly (1903 - 1974)
This is a modal window.
Beginning of dialog window. Escape will cancel and close the window.
End of dialog window.
7 comments:
Ahsante sana kwako pia kwa midundo motomoto.
Asante kwa matashi mema ya Jumapili. Nimependa sala na picha hiyo.Nawe uwe na Jumapili njema
Nami nakutakia J2 njema wewe na familia yako.Amina.
amina
Umeweka picha yako ya zamani au ni mdogo wako :-)
Asanteni waungwana.
Chib. Ninaelekwa kukumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Kwa hiyo katika kusakasaka kumbukumbu nikakutana na picha zangu za muongo na zaidi. Nikaamua kuikumbuka hiyo.
Huyo ni mimi miaka kama 13 iliyopita. Lol
Asante kwa uchunguzi na asanteni nyote kwa kuwa nami barazani
kaka hapo ulinigusa sana nmpenda sana rebeka tuko pamoja
Post a Comment