Wednesday, September 9, 2009

Mshika mawili??......Basi ado ado

Mihogo yangu ya kwanza ('99) ilikuwa swafi. Sijui msimu huu utakuwaje!!!???

Jamani!! Msimu wa ukulima umeanza tena. Na sasa mazao yake ni muhimu na yanahitaji utunzaji wa hali ya juu.
Nahitaji kurejea tena shamba na nitakuwa naonekana hapa japo "ado ado"
Nawapenda nyote na nashukuru kuwa tuko pamoja
Safari hii ntarejea na maparachichi na magimbi na ndizi bukoba na ........
Tuonane tuonanapo.
Blessings

8 comments:

Anonymous said...

Hii picha umeweka hapa makusudikally, si neno lakini inauma kula kupitia skrini.

Faith S Hilary said...

lol! Mihogo hiyooooooo...they look so tasty. Anyway see you whenever we can see you!

Yasinta Ngonyani said...

Nakubaliana na waliotangulia Da Subi na D Candy! ni kweli umeiweka hii picha makusudi ili tutamani kutafuna hiyo mihogo jamani watu. Hata hivyo ahsante kwa kumbukumbu na tutaonana hapo tutakapoonana. Kuwa na muda mzuri.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ekiliibwa kya lushalila, kaitampunu anga rushuula?

Albert Kissima said...

Kila la heri Kaka Mubelwa.


Mi staki ndizi bukoba. Niletee tu kamgomba kadogo tu ka ndizi bukoba nami nikapande.

viva afrika said...

naunga mkono hoja, fikiria futari ya mihogo halafu ndo naichek kwa skrini, ni kaaaz kweli kweli,
tuonane tuonanapo kwa heri yake jalali
pamoJAH!

Simon Kitururu said...

Duh Muhogo Kibonge kweli huo!

mumyhery said...

huo muhogo na ramadhani hii!!! we acha tu