Wednesday, September 30, 2009

Tanzania yangu. Yenye walishao uchungu na waishiyo na machungu

"Yes i realized this world is filled with BANDITS. To BRUTALLIZE THE POOR AND THOSE WHO NEED IT. THEY TAKE A BREAD, FROM THE POOR'S MAN MOUTH, AND MAKE THE PROMISES, PLANS NEVER WORK OUT." Luciano

“Is it the bodyguards around you? Is it the high walls where you live? Or is it the men with the guns surround you twenty four hours a day
that makes you ignore the crying of the people?"
Lucky Dube

"LOOK AT THE SCHOOLS WHERE THE YOUTHS ARE GOING TO GET EDUCATION, DO YOU SEE ANYTHING TO SMILE ABOUT?" Morgan Heritage

Leo ni nukuu tu. Sina maelezo wala muziki. Ni mchanyato wa taswira toka blogs mbalimbali

Plus

Plus

Plus

HEAVEN HELP US ALL!!!!!!!!

4 comments:

Baraka Mfunguo said...

Mkuu yaani hapo kama vile haitoshi. Ongezea magari ya kifahari V8 Toyota Landcruisers,Majumba waliyojikopesha wenyewe,Posho za safari na vikao visivyokuwa na tija.n.k n.k(Nimechoka Kufikiri)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mwishowe sote tunaishi

Yasinta Ngonyani said...

Inasikitisha sana. polepole ni mwendo. Tukaze roho tu.

Albert Kissima said...

Mimi ningekuwa ndie mwalimu ninayefundisha ktk mazingira yale ningegoma ili kuwatetea wanafunzi yani kama shinikizo fulani kwa serikali,(picha ya wanafunzi waliokaa kwenye mawe huku wanakula lecture) mazingira gani haya? Hata mwanafunzi hawawezi kuzingatia masomo kabisa! Sina hakika pia na mapango wanayotoka walimu wa shule hiyo.