International Women's Day

International Women's Day

IMETOSHA

IMETOSHA

KUMRADHI

Kutokana na kubanwa na masomo, mabandiko hayatakuwa kila siku kama awali.
NAWAPENDAThursday, November 26, 2009

Nalinganisha majengo na uchumi wetu

Nawaza kwa sauti tu. Kulingana na uchumi na uhitaji wa wahitaji wa nchi hizi, ni nchi ipi ilistahili kuwa na jengo lipi la bunge la nchi yake?
Bunge la Uingereza
Bunge la Tanzania

1 comment:

wavuti said...

ponda mali kufa kwaja, maisha bongo kwa sandakalawe na kombolela tu.