Saturday, November 21, 2009

SAVE ALBINO BENEFIT CONCERT

Blogu hii inapenda kuungana na ALBINO FULANI na washiriki wote katika onesho hili maalum la kuwachangia ndugu zetu wenye matatizo ya ngozi (ALBINO). Licha ya uhitaji wa kuzaliwa nao walionao ndugu zetu hawa, lakini wenye uchu wa mali na utajiri wamekuwa wakiwawinda ili kupata viungo vyao kujitajirisha. Hili limewafanya ndugu zetu hawa kuishi maisha ya kujificha ndani ya nchi yao kuwakwepa watu hawa wenye imani POTOFU za kishirikina.
ASANTE ALBINO FULANI NA WASHIRIKI WOTE KWA ONESHO HILI LA MANUFAA.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hakuna fikra mbaya kama hizi. Kumua mtu kwa kutaka kuwa tajiri. Kuna usemi usemao binadamu wote ni sawa. Kwa hiyo usiona mtu mmoja ni mzungu, mweusi au albino na ukafikiri ni bora zaidi HAPANA hizi ni rangi tu. Angalia unapojikata au jiumiza nini kinatoaka maji au damu? Kwa kweli inasikitisha sana. Nawatakia kila la heri katika onyesho hili.