Wednesday, December 30, 2009

Happy Birthdate Ryah

Ni Ryah huyuhuyu aliyenifanya niandike HAYA
Ninapofunga mwaka huwa narejesha nyuma taswira za maisha na kuangalia mwaka wangu ulivyokwenda. Na ikiwa imesalia siku moja kuumaliza mwaka (wao wa kalenda), najikuta naanza na wewe RAFIKI yangu ambaye kwa hakika leo ndio MWAKA MPYA KWAKO.
Ninajivunia saana kukufahamu na namshukuru Mungu kwa uwepo wako. Najivunia hatua unazopiga katika maisha yako kimasomo na pia katika kujiandaa na maisha baada ya shule na kwa hakika umekuwa mfano

Najifunza toka kwako kwa namna ulivyo msaada kwa wenye uhitaji na naimarika nionapo na kusikia IMANI yako katika IMANI uliyonayo.

Na leo unapotimiza mwaka na kuanza mwingine, sina ninalokuombea zaidi ya USALAMA NA MAFANIKIO.

Nakuombea ufanikishe KILA LILILO JEMA unalopanga kwa mwaka unaoanza na natumai yule umwaminiye na ambaye amekuwa nguzo yako miaka yote niliyokufahamu ataendelea kukuongoza katika ngwe hii nyingine uianzayo

Happy Birthdate Ryah

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa siku ya kuzaliwa Ryah rafiki yetu!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

napenda kujua jina hili linatamkwaje, RYAHA au?

HOngera to

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana Ryah..

mumyhery said...

Happy Birthday Ryah

Anonymous said...

Mzee wa changamoto
is it happybithdate or happy birthday?
And why do you have so many beautiful female friends.

Anyway, happy birhtday Ryah

Faith S Hilary said...

loooooooooooool!!! Why do you have so many BEAUTIFUL female friends...kasema Anonymous...sio mimi eeh!!!

Happy Birthday dada Ryah! I love wishin some1 a happy bday even if I don't know them! xx

Mzee wa Changamoto said...

Duh!!! Da Yasinta asante kwa kumtakia Ryah siku njema.
Weee Kamala wewe, umeoa juzi tu ushaanza kutafuta jina la mtoto? Lol.. Inatamkwa "RAYAH"
Da Mija.... asante kwa pongezi na email yako pia.
Da Mariam nashukuru mkongwe wangu. Tuko pamoja. Nakuita mkongwe kwa kuwa ulikuwa mtu wa kwanza kutoa maoni kibaraza hiki.
Anon.....Mmmmmmmhhhhhh!!!!!!!!!!
I believe it's "date" than "day". I am not sure if she was born on Wednesday but am sure it was Dec 30. Got it? Lol. And about "beautiful female friends". First of all let's start with "BEAUTIFUL". All women are BEAUTIFUL. You just need to work a little harder to KNOW THEIR BEAUTY. If you work to know them you'll VALUE AND ENJOY THEM.
About "FEMALE FRIENDS" it's shortly b'se am not sexist.
Thanx for being here
Da Candy! Hahahahaaaaaaaa. Huyu mko pamoja sio? Naona umekunwa na maswali yake. Lol
Luv y'all

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

duh!

Hongera Raya....lol