Saturday, January 23, 2010

Mtagwa apoteza pambano.

Pambano limekwisha punde na Mtagwa amepoteza pambano hilo kwa KO ya dk 2:35 ya raundi ya pili dhidi ya Yuriokis Gamboa.

1 comment:

Godwin Habib Meghji said...

kaka Nimeangalia hilo pambano. Ninachoweza kusema, Gambao kweli ana staili kuwa bingwa wa dunia. Anakasi ya ajabu. Kijana kajitahidi ila inabidi atrain zaidi.