Thursday, February 4, 2010

CCM. Miaka 33 baadae...

Njia rahisi kusema ni KUKAA KIMYA.
Nami nakaa kimya kusherehekea miaka 33 ya Chama cha Mapinduzi.
Innocent Galinoma katika wimbo wake wa AFRICANS (hapo chini) aliimba akiuliza mtindo wa kungoja shurkani. Aliomba uwajibikaji ktk kjpengele hiki na kuanza kusema "tell the children the truth right now, right now; what's going on with their economy, rain is falling but there's no food why, where is justice, where is equality, why there is murder, poverty and blood everywhere, where is education, medication for my children?......tell me the truth right now"


No comments: