Sunday, March 7, 2010

Happy Birthdate Lil Sis

Then and now and still looking great
Dada!!
Labda leo ndioi siku muhimu saana kwako na pengine hakuna ninaloweza kunena likabadili ama kuongeza lolote katika siku yako hii.
Lakini bado ninastahili kusema kwa kuwa UNASTAHILI KUAMBIWA.
Najivunia meengi saana toka kwako. Wajua kuwa twawasiliana na kushauriana na kuulizana na kusomana na kutoleana maoni na humu mwote najifunza meengi mema kukuhusu.
Nashukuru saana kwa muda mwingi unaotumia kusikiliza na kuuliza, kushauri na kushauriwa na hata kuonesha uwazi wa fikra na yale unayoamini.

Nakupenda na kukuheshimu saana na naungana na familia yangu ambayo kwa pamoja TWAKUTAKIA MAFANIKIO KATIKA KILA JEMA UTENDALO.

Katika dunia ya sasa ambayo si kila mtu anakutakia mema, utakutana na weengi wenye lengo la kukuona ukiumia, ukishindwa na UKILIA.
Machozi yako yaweza kuoshwa na mmoja pekee. MUNGU
Wimbo huu ni maalum kwako Dada

Happy Birthdate Dada Candy1

11 comments:

Fadhy Mtanga said...

Nami niungane na kaka Mubelwa kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa ikiwa ni kukuombea furaha na mafanikio daima.

Koero Mkundi said...

nami nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa, naamini huu ni wakati mzuri kwako wa kutafakari ulipotoka, ulipo na unapoelekea katika kuzifukuzia ndoto zako.
Hakika your dream will come true my lovely sister.....

Yasinta Ngonyani said...

Nakutakie heri ya kuxaliwa Candy1 uwe na siku nzuri na pia Mwenyezi Mungu akupe miaka mimngi ili uwaone wajukuu wako. Hongera sana kwa siku hii muhimu.

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana Candy. Mzee wa Changamoto amemaliza yote sina kipya cha kuongeza.

Stay blessed.

PASSION4FASHION.TZ said...

Happy birthday Candy,nikutakie maisha marefu yenye furaha tele na upendo,na mungu azidi kukuongoza katika kutimiza ndoto zako.
much luv xoxo!

twenty 4 seven said...

hongera ...nakutakiamafanikio mema.

EDNA said...

Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa,Mwenyezi Mungu akulinde na akuepushe na yote yasiyo ya heri... Luv you.

Faith S Hilary said...

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaw!!!! *tear* lol. The words are just so so touching!!! Thanks kaka for wishing me a happy birthday and great words that will help me in the future (that's a fact...right? lol) and thanks everyone else, I am flattered!! Love you all so much!!! xx

Sisulu said...

na mimi niungane na wanafamilia wengine wa kublogu kwa heshima yako na na ya waziri wa changamoto kukutakia mema zaidi katika maisha haya. HONGERA SANA!

Simon Kitururu said...

Happy Birthday CANDY1!

Anonymous said...

HAPPY BELATED BIRTHDAY SISTER.


disminder