Sunday, April 11, 2010

Hongera wahitimu Mysore

Baadhi ya wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha Mysore, India wamefuzu masomo yao na kutunukiwa shahada mbalimbali zikiwemo za BComm, BMM na BA katika mahafali ya tatu yaliyofanyika chuoni hapo jana na kuhudhuriwa na baadhi ya wazazi.
Chini ni baadhi ya taswira kama tulivyoshirikishwa na Kaka Amani Masue wa Kili Nyepesi Blog.
Blogu ya CHANGAMOTO YETU twawatakia wahitimu hawa mafanikio mema katika kuendeleza kile chema walichopanga.
BLESSINGS

No comments: