Wednesday, June 30, 2010

One-two...One-two.....TEST

Photo credit: http://rbwinepost.blogspot.com/
Amani heshima na upendo kwenu waungwana.
Baada ya mtawanyiko wa majuma takribani manne, nafurahi kuwa ntarejesha mabandiko kwa mwendo wa adoado. Mwendo kasi utakuwa wa tofauti kidogo kwani nikingali nakariri mawili matatu huku waitako SHULE na inachukua muda mwingi wa kutafakari kuliko awali.
Tuko pamoJAH na nafarijika kurejea barazani.
Kesho kunani?
Tuonane hiyoooooo NEXT IJAYO

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha kubwa kuona upo nasi. Na kuwa unaendelea vema. Na nakutakia kila la kheri na hicho kiitwacho shule, Kwani ndio msingi wa maisha .Upendo Daima.

Mija Shija Sayi said...

Namuunga mkono Da' Yasinta. Tuko pamoja.

Faith S Hilary said...

RUDI ULIKOTOKA!hahahahhaahhaa I missed you maaaaaan!!! Welcome back!

Koero Mkundi said...

Nilidhani uko Afrika ya Kusini kuangalia kombe la Dunia.....LOL
Karibu kaka, nilikumiss sana my Bro!