Tuesday, June 1, 2010

ADIMIKO

Amani, Heshima na Upendo kwenu waungwana.
Kwa wiki tano zijazo niko kwenye pilika m'bano kiasi. Ratiba yangu inaonekana itakuwa imebana saana na sina hakika kama ntaweza kuugawa vema muda wangu katika pilika za maisha na mchakato wa kuelisha nikielimishwa hapa "barazani".
Nasaka maisha kidoogo na ntaadimika kwa muda.
Tukingali pamoJAH

12 comments:

Unknown said...

Twatambua mkuu. Kila la kheri na nafaka tele. Amen

Fadhy Mtanga said...

Kila la kheri katika muadimiko wako. Baraka tele.

Yasinta Ngonyani said...

Usijali, Kila la kheri na mafanikio mema. Upendo Daima!!

Anonymous said...

Asante kwa kutufahamisha. Kila la heri katika unalolifanya. Utuletee zawadi ya habari mpya, motomoto.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ukipata pesanyingi tuawane mkuu. AU?

SN said...

All the best mzee. Kazi njema!

Mija Shija Sayi said...

Tuko pamoja kaka.

Albert Kissima said...

Kila la heri kaka, pamoja daima.

Anonymous said...

tukopamoja kaka yetu mungu akutangulie kwakila ulifanyalo na akupe mafanikio mema

Faith S Hilary said...

I miss you already :-(

Nuru Shabani said...

Nakutakia mafanikio kaka

Simon Kitururu said...

Kila la Kheri Mkuu!