Thursday, September 9, 2010

EID MUBARAK

Twapenda kuwatakia ndugu zetu waamini wa dini ya kiIslam siku njema na mwanzo mwema wa maisha mema waliyojifunza ama kuyaanza wakati wa mwezi mwema wa Ramadhani.
Tunawaombea muweze kuendeleza uvumilivu, kujitoa na kujali ambako mmeonesha wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
IDD NJEMA

3 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Kuna kichaa huku kijijini kwetu alikuwa anataka kuchoma moto Kurani na kuharibu Eid Mubarak kwa Waisilamu wengi tu. Afadhali amesitisha ingawa bado hali ni ya hati hati:

http://matondo.blogspot.com/2010/09/uchomaji-wa-kurani-hapa-gainesville.html

Hongereni waisilamu wote na muwe na sikukuu njema!

chib said...

Minal Faidhina Mube.
@Masangu, huyo jamaa alianzisha kanisa huko Ujerumani, alipoanza siasa kali na msimamo usiobadilika huko ikabidi wamwambie kama hawezi kupunguza makali, aishie. Akaamua kurudi kwao Marekani

Yasinta Ngonyani said...

sikukuu njema!