Saturday, September 18, 2010

Not agaaaaaaaaaaaaain!!!!!!!!!!!!

Photo Credit:MLM-Leverage
Huduma yangu ya MUZIKI imeanza kuleta kizungumkuti.
Baada ya kuwa nimehamisha nyimbo nyingi na "kuzipakia" upya humu, naanza kupata KWIKWI ya kupakia tena miziki.
Hili litaathiri zaidi vipengele kadhaa ambavyo UWEPO WAVYO wategemea viunganishi vya sauti za muziki.

Nasikitishwa na hili na naamini kuelekea kwenye TOVUTI KAMILI ndio suluhisho na nalifanyia kazi kwa sasa.
Kwa wakati huu, ntaomba uvumilivu wenu

PamoJAH

6 comments:

Simon Kitururu said...

SUBI uko wapi ?

Anonymous said...

Jitahidi bro. sie wapenzi wa blog yako tunasubiri kwa hamu kupata habari za kufurahisha za kukwamuka kwa kizngiti. Nakukubali ndugu yangu , kaza buti.

Anonymous said...

Miye www.mawio-shineshine.blogspot.com hapo juu

Yasinta Ngonyani said...

natumaini si muda mrefu kila kitu kitakuwa kama kawa tena. Pole sana sie twasubiri.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hii ni shida kubwa. Hata mimi nilikokuwa nimeweka nyimbo zangu sasa wanadai pesa. Nimeanza kuhamia archive.org kwa ushauri wa mtaalamu wetu Da Subi. Huko nako wameanza kuleta matatizo au matatizo ni blogger yenyewe? Ukipata suluhisho la kudumu basi usisite kutujulisha. Pole!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

pole...tunasubiria!