International Women's Day

International Women's Day

IMETOSHA

IMETOSHA

KUMRADHI

Kutokana na kubanwa na masomo, mabandiko hayatakuwa kila siku kama awali.
NAWAPENDATuesday, February 1, 2011

Hotuba ya Mhe. Balozi Maajar..VIDEO

1 comment:

Mbele said...

Mzee wa Changamoto,

Shukrani kwa juhudi zako za kutufahamisha yanayoendelea huko Washington DC na sehemu za jirani. Nimesikiliza hotuba kadhaa za Mheshimiwa Balozi wetu, kama ile ya ufunguzi wa Vijimambo. Nikitumia lugha ya walalahoi, nasema hotuba zake zimeenda shule, tena sana tu. Nakutakia kila la heri, uendelee kutufahamisha mambo.