Monday, August 15, 2011

Langa azungumzia utumiaji madawa ya kulevya (Audio)

Hii ni audio iliyosikika siku ya Jumapili, Agosti 14, 2011 katika kipindi cha Njia Panda na Dk. Isaac Maro akizungumza na Langa kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya, mapambano aliyomo sasa katika kuyaacha na mipango ya baadaye ya kupambana na matumizi ya dawa za kulevya katika harakati za kuiokoa jamii ya Tanzania.
Audio hii ni kwa hisani ya Dada Subi wa www.wavuti.com
BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA...

No comments: