International Women's Day

International Women's Day

IMETOSHA

IMETOSHA

KUMRADHI

Kutokana na kubanwa na masomo, mabandiko hayatakuwa kila siku kama awali.
NAWAPENDATuesday, August 16, 2011

Maendeleo ya msiba wa Ndg Sebastian Thomas

Marehemu Sebastian Thomas
Taarifa tuliyopata kutoka kwa Dj Luke wa Blogu ya VIJIMAMBO, kuhusu msiba wa ndugu yetu Sebastian Thomas zinasema kuwa sasa imefunguliwa akaunti kwa ajili ya kusaidia gharama za funeral home na mazishi ambayo ipo chini ya Mke wa Marehemu. Lakini pia kama ilivyo desturi yetu, unaweza kufika nyumbani kwa wafiwa kuwapa pole na kutoa rambirambi na mchango wako

Unaweza tuma pesa kupitia BARTLET KAMNA . ACCOUNT NO. 446023179268: Routing # 052001633 Bank of America.
au kufika kwenye makazi ya marehemu yaliyopo
5310 62nd Av
Riverdale,MD,20737
simu 301 547 3841

Kwa picha za msiba na taarifa zaidi, BOFYA HAPA
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi.


UPDATES:

SIKU YA JUMAMOSI SAA 11 JIONI KUTAKUWA NA HARAMBEE YA KUTUNISHA MFUKO WA PESA ZA HUDUMA ZA NYUMBA YA MAZISHI NA MIPANGO YA MAZISHI KWA UJUMLA. HARAMBEE HII ITAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU (anwani hiyo hapo juu). KAMA UNA CHOCHOTE KINACHOWEZA KUNADIWA ILI KUWEZESHA HILI UNAOMBWA SANA KUJA NACHO

No comments: