Thursday, August 11, 2011

Msiba mwingine Washington DC

Familia ya Bendera Tazanu na marafiki wanaoishi Washington,DC wanamasikitiko mkubwa kutangaza kifo cha mtoto wao mpenzi,Dada na rafiki yao mpendwa,Kidee Bendera Tazanu,kilicho tokea leo Alhamisi Aug 11,2011 asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Mipango inafanywa ilikuwezesha kupeleka mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwa mazishi..Watanzania wenzangu DMV msiba upo


Address

2159 Ballane LaneWoodbridge, VA 22191


Pia tunaomba michango yenu ya hali na mali ilikuwezesha kuusafirisha mwili wa marehemu Tanzania.kutakua na kitabu cha rambirambi nyumbani au unaweza kutuma rambirambi zako kupitiaBank of America

A/C # 435027268759

Routing # 051000017

Regular checking - walk inn

435027271087Kwa mawasiliano na maelekezo

Clifford Tazanu 202 650 9060

Joyce Mshana-Collins 240 350 0386

Santa Chacha 240 418 6459

Judith John 240 432 3228

Guni Bendera 780 707 6310

Ernest Mwanri 416 727 1579

Emmanuel Mmari 647-438-9382


Bwana ametoa,Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe

No comments: