Monday, September 5, 2011

Bin'adam "TENA"....Na maisha KINYUMENYUME

Photo Credits: St Thomas Aquinas Pack 7
Ni SIKU YA KAZI. Ama niseme kuthamini kazi. Ama siku ya wafanyakazi. Lakini vyovyote iwavyo, ni siku ambayo wengi wetu hapa Marekani tunakuwa na "siku ya mapumziko". NDIO, DAY OFF katika kusherehekea SIKU YA KAZI. Mmmmmhhh!!! Umeona eeee?
Nilishaandika kuhusu kinyumenyume cha Bin-adamu katika kutenda, kunena na kuwaza. Kuwa kwanini tuwazishwe vitu kwa namna nyingine?
Kwanini nchi nyingi Afrika zisherehekee UHURU kwa staili ya gwaride kama la WAKOLONI WALIOTUTAWALA?
Kwanini siku ya wakulima isherehekewe mjini, na wapatao "day off" ni wale wasio wakulima ilhali wakulima hawapati sherehe yoyote siku hiyo?
Ni kwenye muendelezo huu wa KWANINI, najikuta naleta MASWALI YAFUATAYO, ambayo nilitumiwa na rafiki yangu, na si mawazo yangu.
TUMUWAZE BIN'ADAM NA UNAFIKI WA MAWAZO YA KIMATENDO.
Soma kisha uwaze, "bin'adamu anawaza nini kutenda atendayo?" Japo nilitumiwa NICHEKE, lakini yaliniwazisha pia
-Why do supermarkets make the sick walk all the way to the back of the store to get their prescriptions while healthy people can buy cigarettes at the front?
-Why do people order double cheeseburgers, large fries, and a diet coke.
-Why do banks leave vault doors open and then chain the pens to the counters.
-Why do we leave cars worth thousands of dollars in our driveways and put our useless junk in the garage.

EVER WONDER .......

-Why
the sun lightens our hair, but darkens our skin?
-Why can't women put on mascara with their mouth closed?
-Why don't you ever see the headline 'Psychic Wins Lottery'?
-Why is 'abbreviated' such a long word?
-Why is it that doctors call what they do 'practice'?
-Why is lemon juice made with artificial flavoring, and dish washing liquid made with real lemons?
-Why is the man who invests all your money called a broker?
-Why is the time of day with the slowest traffic called rush hour?
-Why isn't there mouse-flavored cat food?
-Why didn't Noah swat those two mosquitoes?
-Why do they sterilize the needle for lethal injections?
You know that indestructible black box that is used on airplanes? Why don't they make the whole plane out of that stuff?!
-Why don't sheep shrink when it rains?
-Why are they called apartments when they are all stuck together?
If flying is so safe, why do they call the airport the terminal?

HIVI TUNAWAZA NINI?

***"Waliwaza nini ni kipengele cha kuelimishana tukifurahia. Hiki kitakuwa kikikuletea habari za kweli na kushangaza kuhusu watu ambao wamefanya yale ambayo unaweza kujiuliza kuwa WALIWAZA NINI? wakati wanatenda haya. Kitakuwa na habari fupifupi kutoka ulimwenguni kote. Kwa habari zaidi kuhusu kipengele hiki BOFYA HAPA"***

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kweli maisha ni kinyumeyume...siku ya wakulima wakulima wanakwenda shambani na wengini wanapumzika na kusherehekea...uwe na siku njema kwenye hii siku ya mapumzika:-)

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Ukijaribu kumwelewa binadamu na hasa hao wapitisha maamuzi utaishia kuchanganyikiwa...Lakini ni vizuri kuendelea kujiuliza. Pengine kuna siku tutapata majibu!