Friday, September 30, 2011

Mkutano wa Neno la Mungu na Tamasha la uimbaji

Mkutano mkubwa wa Neno la Mungu pamoja na tamasha la Uimbaji wa aina yake utafanyika katika kuanzia Jumapili tarehe 2 hadi 9 Oktoba 2011 kuanzia saa 11jioni hadi saa 3 usiku ( 5pm-9pm).
Wagonjwa na wenye shida mbalimbali za kimwili na Kiroho wataombewa.
KUMBUKA...
Ni kuanzia tarehe 2-9 Oktoba.
Mahala ni :

University Methodist Church
3621 Campus Drive,
College Park. MD. 20705

Kwa maelezo zaidi, tembelea http://www.thewayofthecrossgpspelministries.org ama wasiliana kwa simu nambari 703-863-2727 ama 202-367-3267 na / 240-706-0351
NYOTE MNAKARIBISHWA

1 comment:

Emmanuel Sulle said...

Kaka aksante kwa kutuunganisha na redio za Bongo...Sikujua kama na redio za kawe zinasikika huku. Dah, tekelinalotujia ni kali sana, tujizatiti na sisi iko siku tutatoka tu.