International Women's Day

International Women's Day

IMETOSHA

IMETOSHA

KUMRADHI

Kutokana na kubanwa na masomo, mabandiko hayatakuwa kila siku kama awali.
NAWAPENDAThursday, September 8, 2011

Onyesho la msanii Mish huko Reading

URBAN PULSE CREATIVE inakuletea onyesho la msanii wao Mish "ze Fyah Sis" ndani ya concert inayoitwa LOVE CAN iliyofanyika katika chuo kikuu cha mji wa Reading mapema wiki hii. Show hii iliandaliwa kwa ajili ya kutafuta fedha ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya jumuiya barani Afrika na hapa nchini Uingereza ikijumuisha uchunguzi wa maradhi ya saratani (Cancer Research) na vurugu za ndani (domestic Violence).

Imetolewa na
Urban Pulse Creative

No comments: