Monday, September 26, 2011

Yaliyojiri DICOTA 2011 (Sehemu ya kwanza)

Katika hotuba yake ya kuuaga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka 2011, Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Kikwete alisema kuwa mwaka huu utakuwa mwaka wa kusherehekea miaka 50 ya uhturu wa Tanzania Bara. Kilele cha maadhimisho hayo kwa hapa Marekani ilikuwa ijumaa iliyopita (Septemba 23, 2011) katika jimbo la Virginia. Katika siku hiyo, mambo mbalimbali yalitendeka. Kulikuwa na hotuba toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Bernard Membe, Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Mhe Ombeni Sefue, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, mabalozi, wawakilishi wa serikali ya Marekani na waTanzania toka
Juma hili nitakuletea mfululizo wa yale yaliyojiri katika siku hiyo na ambayo yaliweza kuwekwa kwenye kumbukumbu na blogu hii.
Leo hii tuanze na sehemu ya kwanza ya hotuba ya Rais Jakaya Kikwete. MSIKILIZE HAPA chini
KARIBU

No comments: