TANZAM (Tanzania American Community of the Delaware Valley)inawaalika watanzania wote katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru yatakayofanyika tarehe 10 December 2011 yatakayofanyika
31 BLUE HEN DRIVE
NEWARK. DE 19713.
Kiingilio ni dola 15 na muziki utakuwa chini ya Dj Master P Rwechungula.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na
1. Ms. Lilian Kamwani - (267) 230 6163
2. Mr. Alberto Othon – (267) 756 3564
3. Mr. Primus Muganyizi – (267) 467 7163
4. Mr. Khamza Kikula – (215) 740 3287
Alberto Othuon
Katibu, TANZAM
www.tanzam.org
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment