Sunday, December 18, 2011

ADIMIKO

Amani, Heshima na Upendo kwenu waungwana.
Kwa wiki tano zijazo niko kwenye pilika m'bano kiasi. Ratiba yangu inaonekana itakuwa imebana saana na sina hakika kama ntaweza kuugawa vema muda wangu katika pilika za maisha na mchakato wa kuelisha nikielimishwa hapa "barazani".
Nasaka maisha kidoogo na ntaadimika kwa muda.
Tukingali pamoJAH

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa taarifa ila tutakumiss mno. Hata hivyo nakutakia kila la kheri kwa kila utakachofanya wakati huu wa muadimiko na wakati wote mwingine

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Wengine twarudi, wengine mwaondoka. Maisha !!!

Mibaraka tele huko uendako na mara tu ukimaliza lililokuadimisha bila shaka utarejea wanguwangu...

http://matondo.blogspot.com/2011/12/wanablogu-wenzangu-na-wapenzi-wote-wa.html