Wednesday, December 28, 2011

Ibada ya kumuaga Ndg. Steina Mrema

Ndugu, jamaa na marafiki tunaombwa kujumuika pamoja katika misa ya kumuaga ndugu yetu,mwenzetu,Mtanzania mwenzetu na rafiki yetu mpendwa Steina Mrema. Misa hii itafanyika siku ya Ijumaa Desemba 30, 2011 kuanzia saa tisa na nusu alasiri (3:30 PM) na baadae kuaga mwili wa marehemu katika kanisa la Cathederal Of Praise, Lanham, Maryland.

Anwani itakapofanyika misa hii ni :
10110 Greenbelt Road,
Lanham, MD 20706

Tunahimizwa kuzingatia muda, na pia kuarifu wenzetu.
BARAKA KWENU

No comments: