Tuesday, December 27, 2011

Maendeleo ya msiba wa Steina Mrema


Video Credits: Swahili Villa blog
Ndugu, jamaa na marafiki bado tunaombwa kujitokeza na kujitoa ili kufanikisha safari ya mwisho ya ndugu yetu Steina Mrema.

Mpaka sasa, michango iliyokusanywa na wakazi wa DMV ni $ 5,000 na wakazi wa majimbo ya PA na DE wameweza kukusanya kiasi cha $4,000. Gharama za jumla kwa ajili ya kuhifadhi na kusafirisha mwili ni $15,000.
Kwa gharama hizo, bado zinahitajika $6,000.
Ndugu zetu, chochote ulichonacho kitasaidia kutufikisha karibu na lengo letu

Kwa wakazi wa DMV, tunaombwa tufike College park kusaidia kuchangia kwa kadri ya uwezo wetu. Ni utu na moyo wa kuwezesha ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu kumpumzisha karibu nao

Anwani ni
9005 LOCUST SPRING DR,
COLLEGE PARK, MD 20740.

Kwa Watanzania waliombali na MD,PA, mnaweza kuchangia kwa akaunti iliyofunguliwa kuwezesha hili. Akaunti hiyo imefunguliwa katika Bank ya Wells Fargo.
Jina Elimchili Lyaro,
routing number 055003201
account number 7015276038 .

Msiba huu ni wetu sote, UMOJA, MSHIKAMANO NA USHIRIKIANO WETU, ndio utakaowezesha na hatimae kufanikisha kuusafirisha mwili wa Ndugu, rafiki, Jamaa, na mTanzania mwenzetu Steina Mrema nyumbani Tanzania kwa mazishi,
SISI TULIMPENDA STEINA LAKINI MWENYEZI AMEMPENDA ZAIDI, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Kwa wakaazi wa PA msiba upo:
626 BRIDGE STREET,
COLLEGE, PA 19426.


KWA MAELEZO ZAIDI NA MAELEKEZO TAFADHALI PIGA SIMU:
STELLA NDOSSI- 302 377 3214
EDNA IWEKAMA-484 334 5607
ELIMCHILE LYARO-610 331 9164
VICTOR RWEHUMBIZA-302 740 2844
RASHIDI MKAKILE -240-938-3177
STEPHANO MHINA - 240-550-4962
GEORGE MWASALWIBA- 240-533-6941
EMMANUEL NNKO - 202-460-8638

No comments: