Tuesday, December 6, 2011

Labda UNYOOFU si suluhisho la kutufikisha kila tunakotaka kwenda......

.......... japo twatumia unyoofu kama kielelezo cha kuelekea mafanikioni.Labda waTanzania tu-wanyoofu saana ilhali Tanzania yetu imeshapinda. Ndio maana ni kama twaendesha ki-ajali ajali
Labda Rais Kikwete yu-mnyoofu ilhali serikali na Tanzania yake imepinda. Ina maana hatatufikisha
Labda twajitahidi kuwaza ki-nyoofu ilhali suluhisho la mawazo hayo tayari limepinda. Ndio maana matokeo ni kutofika tutakako
LABDA HATUWAZI KULINGANA NA MAZINGIRA NA LABDA ILI TUSONGE MBELE, TWAHITAJI DEREVA ANAYEONA BARABARA IMEPINDA NAYE AKAPINDA KULINGANA NA BARABARA HIYO ILI TUFIKE TUENDAPO.
NAWAZA KWA SAUTI TU!!!!!!!

3 comments:

emu-three said...

labda , labda mkuu, maana tunaishia kusema tu labda...!

Simon Kitururu said...

Mmmmh!

EDWIN NDAKI (EDO) said...

nimepita kukusalimia rafiki.Nafarijika jinsi kila kukicha unavyozidi kukomaa kwenye tansia ya kublog.

Nakutakia kila jema,nakusoma sana achiliaa mbali mara nyingi nimeshindwa kuacha maoni.

Tutafika tu