Thursday, December 22, 2011

MSIBA WASHINGTON DC & PENNSYLVANIA


TUNASIKITIKA KUTANGAZA MSIBA WA NDUGU YETU STEINA MREMA ALIYEFARIKI LEO ASUBUHI DECEMBER 21, 2011 SAA 12:54(6:54 AM),

MSIBA UPO NYUMBANI KWA ELIMCHILE LYARO

ADDRESS
626 BRIDGE STREET,
COLLEGE, PA 19426.

JIMBO LA MARYLAND, UPO NYUMBANI KWA BWANA RASHIDI

9005 LOCUST SPRING DR,
COLLEGE PARK, MD 20740.

NDUGU ZANGU WATANZANIA, MSIBA HUU NI WETU SOTE, NDUGU,MARAFIKI,JAMAA NA WATANZANIA WOTE TUNAOMBWA TUUNGANE SOTE TUPANGE MIPANGO YA JINSI GANI NA HATIMAE KUWEZESHA KUUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU TANZANIA KWA MAZISHI.

KWA MAELEZO ZAIDI NA MAELEKEZO TAFADHALI PIGA SIMU:
STELLA NDOSSI- 302 377 3214
EDNA IWEKAMA-484 334 5607
ELIMCHILE LYARO-610 331 9164
VICTOR RWEHUMBIZA-302 740 2844
RASHIDI MKAKILE -240-938-3177
STEPHANO MHINA - 240-550-4962
GEORGE MWASALWIBA- 240-533-6941
JOSHUA JONATHAN - 703-932-5150
EMMANUEL NNKO - 202-460-8638

TUTAZIDI KUWATAARIFU MAENDELEO YA MSIBA HUU ZIKIWEMO GHARAMA ZA KUMSAFIRISHA MAREHEMU NYUMBANI TANZANIA KWA MAZISHI MARA TU ZITAKAPOJULIKANA.

RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE...MUNGU AIBARIKI NA KUILINDA FAMILIA YA STEINA MREMA, AWAPE FARAJA NA KUWATIA NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU....BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Marehemu astarehe kwa amani! Na raha ya milele umpe e bwana apumzike kwa amani.

Mija Shija Sayi said...

Poleni sana wapendwa.

Tupo pamoja.