Thursday, December 22, 2011

WASH THE TEARS.....Gramps Morgan

"In this time of destruction, we must hold on firm, we got to get along.....
WE KNOW WE MUST WIN THE FIGHT.....
WE KNOW THAT JAH IS THE BEST OVER TRIALS AND TRUBULATIONS...."
Gramps Morgan
Ni mwisho wa mwaka sasa. Mwisho ambao umekuja na yake ya kusikitisha. Kwa wakazi wa Dar Es Salaam wamekumbwa na maafa ambayo yamevunja rekodi. Taswira zilizoonekana kusikitisha saana. Napiga picha ya wale waliopo huko.
Kuna mengi ya kuongea kuhusu hili, na tutayajadili baadae kidogo. Kwa sasa ni kuungana na waathirika wote wa janga hili katika kuwafariji na kuwasaidia.

Kwa wale wooote mlioathirika kwa mafuriko yaliyotokea, naamini MUNGU ATAWAFUTA MACHOZI KATIKA WAKATI HUU AMBAO TUNA MAGUMU HAYA YALIYOTUKUMBA.

Kama alivyoimba Gramps Morgan, ni Mungu pekee wa kutufuta machozi asemapo "JAH shall wash away all the tears from my eyes. In times when the storm and the tides are raging high. We know we shall win and we'll survive....JAH SHALL WASH AWAY ALL THE TEARS"
Karibu tumsikilize Ijumaa hii akitufariji na wimbo huu WASH THE TEARS.

**Them, I & Them ni kipengele kikujiacho kila Ijumaa kinachoelezea kazi za wasanii (Them) kulingana na maono yangu (I) kwa ajili na manufaa ya hadhira (Them)**
Kwa nyimbo zaidi ndani ya kipengele hiki bofya hapa.
IJUMAA NJEMA

1 comment:

MswahiliFlani said...

Inaumaa sanakuona hali inazidi tu kuaa mbaya nyumbani bila viongozi kujali wananchi wake!