Sunday, March 25, 2012

Anna kwa Ana na Anna Mwalagho

Punde baada ya mahojiano humu ndani ya Asparagus Media Studios. Takoma Park, MD. U.S.A
Kazi yetu ni kutunza kumbukumbu za wale ambao wanathamini mawazo, fikra, na mbinu zao kwa manufaa ya wengine au vizazi vipya.
Msikilize kwa makini Muigizaji, Mchezaji, Mshairi, msimulizi wa hadithi na mwimbaji Anna Mwalagho akieleza mengi kuhusu maisha yake.
Ameeleza alivyoanza mpaka alipofikia, waliomvutia, mafanikio katika kazi na mengine mengi.
Msikilize kwenye mahojiano haya aliyofanya nasi ndani ya studio za Asparagus zilizopo Takoma Park, jimbo la Maryland nchini Marekani

Pia nilimuuliza kilichomsukuma / kusababisha kuandika wimbo wa I REMEMBER ambao binafsi naupenda sana.
Haya hapa chini ni maelezo niliyounganisha na wimbo wenyewe.
Enjoy

Punde baada ya mahojianao wakania IMPROMPTU ACT na Abou.
Hahahahaaaaaaa

Shukrani za pekee kwa Abou Shatry wa Swahilivilla Blog kwa kufanikisha hili

5 comments:

Subi Nukta said...

Nimefurahika sana kwa hojaji hii na kibwagizo cha Abou na bi Anna. Nimejifunza mengi zaidi ya kuburudika.

Rachel Siwa said...

Kazi nzuri kaka wa mimi,Hongera sana!

Yasinta Ngonyani said...

Nimependa kweli mahojiano haya ya dada Ana na kaka Bandio na kaka Abou kumbe nawe una kipaji ..haya ndugu zangu kazi nzuri sana..

Ebou's said...
This comment has been removed by the author.
Ebou's said...

Jamani ee Ahsante sana kwa maoni yenu, yani hadi naona raha ndani ya moyowangu, ila sasa mbona wadhamin hawatokei...!