Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na Ndg Phanuel Ligate katika utaratibu wake mpya wa kutambulisha wadau mbalimbali waTanzania wanaofanya shughuli mbalimbali hapa Marekani.
Hapa anaeleza mambo mbalimbali kuanzia historia ya maisha yake mpaka shughuli zake zfanyazo hapa Marekani.
Pia ana ushauri.....
Karibu uungane naye
Tuesday, March 6, 2012
Phanuel Ligate katika "Ana kwa ana ya Vijimambo Blog."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Mzee wa Changamoto,
Asante sana kwa kutuletea mzungumzo ya ndugu Ligate.....nimejifunza mengi toka kwake. Je ni kwa vipi naweza wasiliana naye kwa e mail..? Ndio naweka makazi Marekani ushauri wake wa wa real estate nauhitaji.
Nduguyo U.Musokwa "orbi" au umusokwa@yahoo.com
Ndugu yangu Musokwa.
Heshima yako. Nafurahi kusikia umenufaika na maelezo ya Kaka Ligate.
Mawasiliano yake ni
Simu
240-605-1870
Barua pepe ni
ppligate@gmail.com
Baraka kwako ndugu
Post a Comment