Wednesday, May 30, 2012

KIKAO JUU YA MTANZANIA ALIYE HOSPITALI

Juma lilipopita, Katibu wa Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC na vitongoji vyake alitoa taarifa HII kuhusu hali ya mTanzania mwenzetu na ndugu yetu, Bwana Domitian Rutakyamirwa aliyelazwa chumba namba 523 katika hospitali ya Chuo Kikuu cha George Washington iliyopo 900 23rd St., NW. Washington, DC 20037.
Bado hali ya ndugu Domi (kama anavyofahamika kwa wengi) siyo nzuri hivyo maombi pamoja na dua vyahitajika ili Mwenyezi Mungu aweze kumuangazia.
Pamoja na maombi, leo hii, familia ya Ndg Domi itakutana na ndugu, jamaa na marafiki kujadili masuala kadhaa kuhusu hali yake. Unakaribishwa kuhudhuria na kutoa mchango wako wa mawazo katika yale yatakayojadiliwa.
Kikao kitafanyika saa moja kamili jioni.
Anwani ni
10110 Greenbelt Rd,
Lanham,MD,20706

NYOTE MNAKARIBISHWA Unaweza kuwasiliana na Henry Kente: 240-938-2452 Bernadetha Kaiza: 240-704-5891 Mubelwa Bandio: 240-281-0574

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Kila la kheri!!Pamoja daima.